Habari za muda huu wanajukwaa.
Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Katika mradi wa SGR katika kituo cha Fela katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kumekuwa na tabia ya mafomeni kupokea rushwa ili kuwapa kazi watu ambao wapo nje ya kampuni.
Kitendo hicho kimepelekea watu kufukuzwa kazi...