yathibitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yathibitisha wagonjwa wawili wa mpox

    https://www.instagram.com/p/DHBi8BvC2pD/?igsh=MWxlODZ3N3VsZDgwbw==
  2. M

    Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  3. Prof Kindiki Ruksa kuapishwa, Mahakama yathibitisha

    Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti. Source: Nation Media...
  4. Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita. IDF...
  5. Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  6. K

    Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

    Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000. Hassan Nasrallah ameongoza Hezbollah kwa miaka 32,kutoka mpiganaji wa mtaani mpaka kiongozi Mkuu.
  7. TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  8. CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  9. Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  10. Mahakama yathibitisha Stella Moses aliyepoteza maisha akiwa Kituo cha Polisi Mburahati alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu hiyo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses ambaye alifariki akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Mburahati, Desemba 20, 2020, ambapo imesema kifo chake...
  11. Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  12. Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  13. Hatimaye CCM, kwa kuipakata DP world, yathibitisha ni genge la ulaji lisilo na uadilifu wala uzalendo!

    Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa! Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu...
  14. Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  15. Gambia yathibitisha kuzima jaribio la kwanza la Mapinduzi ya Serikali

    Mamlaka zimewakamata watu 4 wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Rais Adama Barrow, ikiwa ni tukio la kwanza la uasi tangu amshinde mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh. Pia, Jeshi limetangaza msako kwa Watu wengine watatu wanaotafutwa kwa madai ya kuhusika katika kupanga njama...
  16. NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

    Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
  17. Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  18. Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  19. Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
  20. S

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa yathibitisha majeshi ya Ukraine kutumia raia kama ngao za kivita

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…