Wadau hamjamboni nyote?
Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
February 13, 2025
IDF says over 60 terror operatives killed, 210 detained amid ongoing West Bank...
Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo December 29,2024 wakiwa wamelala.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.
Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao...
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Kibisa lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na gari la kubebea mizigo…ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kata ya Mikese Manispaa ya Morogoro.
Kaimu Afisa Habari wa...
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha habari cha Tasnim cha Iran kinaripoti.
Tasnim inamuelezea Abiyar kama mshauri, neno ambalo hutumia...
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani.
Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) mjini Tehran, Iran ambaye anadaiwa kuhusika katika kuwalenga Wayahudi nchini Ujerumani...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA
Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani.
Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
Russian authorities on Sunday said they had killed six suspected Islamic State group fighters in the southern Muslim-majority Caucasus republic of Ingushetia.
Special forces from the FSB security agency cornered the six people in a building in the town of Karabulak and "neutralized" them in an...
Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi.
========
Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la...
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.
=======
Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.
The commander of the...
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku wengine wakitekwa nyara.
Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti...
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL).
TANGANYIKA PACKERS LTD kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini.
Mwaka 1975 serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.