yauza

  1. JanguKamaJangu

    Tanzania imeingia makubaliano ya kuiuzia Zambia Mahindi Tani 650,000

    Andiko la Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo. Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia...
  2. BARD AI

    Apple imeuza bidhaa za Tsh. Trilioni 273 ndani ya miezi 3

    Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022. Apple imeonyesha mapato ya dola...
  3. BARD AI

    FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  4. JanguKamaJangu

    Mercedes-Benz yauza gari lenye gharama kubwa zaidi duniani (Tsh. Bilioni 330)

    Kampuni ya Mercedes-Benz, Ijumaa ya Mei 20, 2022 iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, ambalo ni Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1956 kwa kiasi cha dola milioni 142.7 sawa na Tsh. bilioni 330. Kabla ya hapo gari aina ya Ferrari 250 GTO ya mwaka 1963 ndilo...
  5. N

    Rivers United tumeuza mshambuliaji Sweden

    IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin...
Back
Top Bottom