yerico nyerere.abdul nondo

  1. H

    Uchaguzi 2020 Paschal Mayalla hufai hata kuongoza kitongoji

    Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya siasa za nchi kwa miaka mingi sasa. Nchi hii imebariki watu wenye vipawa mbalimbali. Tasnia ya siasa imekuwa inaheshimika kwa miaka kadhaa sasa. Kipindi hiki kimeshuhudia kushuka kwa hadhi ya tasnia hii kutokana na wimbi kubwa la wanasiasa uchwara wenye...
  2. CalvinKimaro

    Huu udhaifu CHADEMA mtaurekebisha lini? Msemaji ni Makene au Lema?

    Taasisi makini huweka utaratibu wa viongozi wake kutoa taarifa. Haiwezekaniki kila kiongozi awe msemaji wa taasisi haswa ya kisiasa. Nidhamu inakuwa zero ikitokea hivyo. CHADEMA ni taasisi ya ajabu! Inaye msemaji ambaye kama wengine naye ni mchaga. Ndugu Makene. Japo haenei kwenye nafasi lakini...
  3. Sanyambila

    Maoni: Mikutano ya siasa ifunguliwe kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wanabodi umofia kwenu Nianze kwa kumpa pole na hongera Mh. Rais Magufuli kazi njema anazofanya kila siku, Hoja yangu ni alipokuwa anaingia Madarakani alipiga marufuku mikutano ya kisiasa na kusema tufanye kazi siasa itakuwa kipindi cha uchaguzi. Sasa tupo katika kipindi hiki cha uchaguzi...
  4. Sanyambila

    Maoni juu ya adhabu mashuleni viboko au kusimamishwa masomo na uingiliaji wa wanasiasa kwenye taasisi

    WAJUMBE SALAAM! Hivi karibuni kumejitokeza matukio ya utovu wa nidhamu mashuleni na adhabu mashuleni. Nianze na utovu. Miaka ya leo wanafunzi wameshuka kinidhamu sana. Yapo matukio ya walimu kupigwa, kutukanwa, kukejeliwa na mwalimu anapochukua hatua stahiki wanafunzi huja juu kwa kumtishia...
Back
Top Bottom