Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na...