yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    Kwanini Yesu Kristo aliivunja Sabato? Sababu hizi hapa

    Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato. Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli...
  2. S

    Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  3. Setfree

    Yesu Kristo awaaibisha wanasayansi wakubwa!

    Kina nani hao? Amewaaibishaje? Ntakueleza, ngoja kidogo niwasaidie wale waliokimbia masomo ya sayansi, hasa hasa Fizikia. Ulimwengu wa kisayansi umejengwa juu ya sheria na kanuni zinazoelezea mienendo ya vitu. Miongoni mwa sheria/kanuni hizo ni: The Law of Universal Gravitation: Hii sheria...
  4. T

    Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  5. Kindred Spirit

    Hii inaweza kuwa Picha Halisi au Picha Inayokaribiana kabisa na Mwonekano wa Yesu Kristo

    Tumsifu Yesu Kristo.... Bwana Yesu Afisiwe.... Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna alivyoamua kujitoa mwenyewe kutukomboa kupitia kifo chake. Mada ya Shroud of Turin imeshapostiwa...
  6. U

    Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  7. Ahead

    Yesu Kristo anarudi

    Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na...
  8. eden kimario

    Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  9. sanalii

    Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  10. eden kimario

    Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
  11. Morning_star

    Inajulikana na kuandikwa kama Christmas. Sasa kuandiaka X-Mass ni kumkufuru Yesu Kristo!

    Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa! Andika " Christmass" likiwa na maana " Kusanyiko la Yesu Christo"
  12. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Tusidanganye, Rest in Peace (RIP) haipatikani bure; lazima uishi maisha mema kwanza

    Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa. Baada ya kifo, ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. Rest in Peace haipatikani bure; lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya...
  15. Uwesutanzania

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,. Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE) Swali langu kwa...
  16. covid 19

    Nimekuwa nikitafakari kuhusu Biblia na namna waandishi wake walivyoandika matukio mbalimbali kuhusu Yesu. Mambo kadhaa yananipa maswali

    1. Biblia inasema Yesu alifunga kwa siku arobaini jangwani, akiwa peke yake, na akajaribiwa na Shetani. Nani alirekodi majaribu hayo wakati hakukuwa na mtu mwingine aliyeshuhudia na hakuna sehemu inayosema Yesu alisimulia tukio hilo? 2. Katika bustani ya Gethsemane, Yesu alienda kuomba kwa...
  17. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  18. Judah Tribe

    Kwanini Yesu anaitwa Simba na si jina la mnyama mwingine?

    Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati. Najua humu kuna wataalam watakao tujibu kitaalam na kiimani zaidi ili iwe faida kwa wengi wasio fahamu na pengine walio kuwa wanafahamu kwa...
  19. Rule L

    Kama kweli Yesu aliteseka msalabani kwaajili yetu ili tusamehewe dhambi zetu, sisi tunatubu ili iweje?

    Nawasalimu Salam ya wakati huu. Kiukweli kabisa Mimi hili suala mpaka kesho sijawahi kulielewa, Kama tunaambiwa kwamba dhambi zetu yesu alizimaliza msalabani sasa kwanini watu wanalia na kusaga meno kila siku wasamehewe dhambi zao? Je, kuna makundi ya dhambi zilizosamehewa na ambazo bado ama...
  20. USSR

    Kwenye biblia kuna Yesu wawili Yesu kristo na Yesu mchawi ,Manabii wanamtaja Yesu mchawi

    Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo...
Back
Top Bottom