yesu wa tongaren

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    "Kuna watu wamekuja kwangu na Mbao na Misumari Tayari Kunisulubisha, lakini Sina Hofu kwasababu Pasaka yangu ni Julai" - yesu wa Tongaren, Kenya

    "Kuna watu wamekuja kwangu na Mbao na Misumari Tayari Kunisulubisha, lakini Sina Hofu kwasababu Pasaka yangu ni Julai" - yesu wa Tongaren, Kenya
  2. JanguKamaJangu

    Kenya: Maafisa wa Jeshi la KDF wamtembelea Yesu wa Tongaren, wapiga naye picha

    Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye anajinasibu yeye ni Yesu ambaye yupo kwenye mchakato wa kuiokoa Dunia. Kumekuwa na Wakenya wengi...
Back
Top Bottom