BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa.
Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi kwenye jengo la ghorofa huko magharibi ya urusi.kwa jinsi milipuko inavyojirudia inaonekana ndege hiyo...