Wakuu,
Kama mnavyojua usiku wa leo ndio zinafanyika hizo tuzo za Trace huko Zanzibar.
Wakati napitia pitia nominations nimekutana na majina ya wasanii 2 ambao hawakustahili kabisa kuwepo kwenye nominations kutuwakilisha watanzania
Wa kwanza ni huyu Young Lunya. Yeye amewekwa kwenye kipengele...