[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana.
Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
Imekuwa too much sasa, video unaicheki youtube unaanza kusoma comments za mrejesho, ushauri, ukosoaji, nyongeza, n.k.
Ila unakutana na comments za kuomba likes.
Wanakera sana hawa watu
Uki comment cha maana utapewa like bila kuomba,
TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.
Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote...
Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.
Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
New Professional Microphone
For recording
Podcasts
YouTube videos
Video call & video conferencing
Etc.
Delivery : from Dar es salaam to all regions
Offer: 99,000/-
Call: + 255 658 700 510
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM
kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo...
Kama ni mfuatiliaji wa Emmanuel Tv kwa maombi na mahubiri ya Prophet Tb Joshua utakua unaifaham channel pendwa ya Emmanuel Tv youtube channel kwani watu hupata maombi na mahubiri kupitia channel hii, hivi karibuni youtube imeifungia channel hii kwa sababu zisizo za msingi hivyo basi unahitajika...
Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya
www.supersoundtz.blogspot.com
njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Salamu wakuu,
Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube.
Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha.
Kinachohitajika
1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi
2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.