youtuber

A YouTuber is an individual who produces videos for the video-sharing website YouTube. The name "YouTuber" refers to an individual whose main or only platforms are YouTube channel(s), personalized subpages of the YouTube video sharing platform.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyie YouTubers wa tanzania ni kweli mnatengeneza hela kupitia mtandao huo au ni uwongo?

    Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube? Na chanel nyingi ni za Kiswahili! Mwenye yuko na chanel aniambie.
  2. YouTubers wa Bongo na vituko vyao

    Habari za jioni Wadau. Katika mtandao wa YouTube, video nyingi huwa na cover ya picha ambayo inabeba maudhui yaliyomo katika video husika. Lakni kwa hapa kwetu Tanzania, hawa jamaa hawapoi kwa picha zao na vichwa vya habari zao za ajabu wanazo weka kila siku. Najiuliza ni mbinu ya kuvutia...
  3. YouTuber Mganda anasema kwamba Kenya iko developed kushinda Uganda

    Angalau hawa Waganda hawana unafiki wanakubali wazi kwamba Kenya ipo mbele yao. Huyu jamaa anasema kwamba hata towns ndogo ndogo kama Kitale bado zimeendelea sana. Alikuja Kenya kwa sababu ya harusi pale ambapo Mganda alimuoa Mkenya.
  4. Youtuber na Mdau wa Usafiri wa Anga SAM CHUI aponda Huduma za KQ

    Sam Chui ni mdau maarufu sana wa Safari za Anga jamaa amesafiri na mashirika ya ndege mbali mbali makubwa duniani. Ndani ya miezi hii miwili jamaa ame tembelea Rwandair + Kenya airways Jamaa ameonekana ameponda sana huduma za shirika la KQ kufuatia safari hake aliyo fanya kutokea Kenya...
  5. Youtuber Mganda amesema kwamba Nairobi ni New York of Afrika

    Jamaa mwenyewe kasema kwamba Nairobi ni New York of Afrika. Tazama kuanzia sekunde ya 28. Malazy bado huwa wanataka kushindana na Nairobi.
  6. A

    SoC01 Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

    Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…