The following is a list of characters in the television series 24 by season and event. The list first names the actor, followed by the character. Some characters have their own pages; see the box below.
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.
Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.
Pia soma
- TANZIA - Yusuf...
FEBRUARI 8, 2017, ilikuwa Jumatano. Paul Makonda, wakati huo akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitaja orodha ya aliowatuhumu kuwa vigogo wa biashara ya dawa za kulevya Tanzania.
Ilikuwa kutaja majina zigzaga. Taifa likazizima. Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ndani...
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo...
Yusuf Manji enzi za uhai wake
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub...
Nasema hivi,
Yule msiempenda anasogea kwenye meza ya chakula, maana ameonekana akinawa mikono na kijifuta kwa taulo safi jeupe. Amesema kuwa atashiriki kwenye chakula cha jioni siku ya Jumapili, Juni 27, 2021.
Mwenyekiti wa zamani klabu ya Yanga SC, Yusufu Manji yuko nchini na anatarajiwa...
Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka.
Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani?
Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery.
Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi .
Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA)
Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
Msemakweli ametoa taarifa kumjibu Yusuf Manji kutokana na matangazo yake ya magazeti aliyoyatoa kuhusu wizi wa 40 bilioni/- kutoka akaunti ya EPA ya Benki Kuu kupitia kampuni ya KAGODA.
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
Taarifa kamili ya Msemakweli hii hapa:
TANZANIA blog
Jamani habari za mchana,habari ya KAGODA imeshia wapi? sijasikia serikali kuwakamata watuhumia zaidi ya kusikia mtoa ushahidi kuhojiwa,je kuna progress yoyote katika hii kesi?naomba kujua maana hakuna kitu kilichonifurahisha kama alichokifanya MSEMAKWELI
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd...
Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza.
Ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini...
Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7.
Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa kutomrejeshea fedha zake ..
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
Source: MwanaHALISI
Kampuni ya Quality Finance Corparation Ltd (QFC) amefungua madai ya fidia ya Sh. bilioni 18.7 Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd, kama hasara kwa kiuka makubaliano ya mkopo katika ya yao Septemba 12, 2005.
Kadhalika, kampuni ya QFC, imeomba mahakama itoe amri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.