Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya kodi, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda amesema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta...
Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake.
Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio...
Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake.
Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni,
Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni.
Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko,
Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani...
Gamondi history
Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu.
In short
wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka
😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.