Mwanasheria msomi,nguli katika kudadavua migogoro ya kisheria nchini tunaomba mrejesho wa kesi ya Yusuph Kagoma kwanza.
Maana ulituaminisha kwamba mchezaji huyo alisaini Yanga na mkataba upo.
Wasiwasi wa sisi mashabiki huko 'CAS' utaweza kuitetea Yanga kweli?
Rekodi zako katika mashauri...
Uchawi wa mpira now days upo kwenye nguvu ya viungo katikati ya uwanja.
Zamani uchawi wa mpira ulikuwa unaamuliwa na kasi ya mawinga ndio maana mawinga kama akina Ribbery, Arjen Robben, Wright Phillips, Theo Walcott na wengine wengi walitisha sana kwa kasi zao.
Lakini mifumo ya mpira...
Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni.
Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS.
Soma Pia: Mwanasheria...
Ya kweli haya ?
---
Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:
"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe...
Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex.
Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
ahmed ally
coastal union
dhidi
kikosi
lameck lawi
mashujaa
mashujaa fc
simba
simba sc
soka la bongo
union
usajili wa lameck lawi
yanga 2-1 simba
yusuphkagoma
Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji!
Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi...
Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga, Kisha mchezaji huyo kutumika katika michezo miwili ya Simba, mmoja dhidi ya Tabora utd na mwingine...
Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake.
Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio...
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma."
Kwa mujibu wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Haki za Wachezaji na wanasubiri Kikao ili kuendelea kumtetea Mchezaji.
Amesema "Mchezaji...
Mmesikia huko 😂
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake.
Ahmed Ally ameandika:
"Klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma, yaani kila mkilala mnamuota. Roho zinawauma...
Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake.
Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi.
Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai kuwa Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji, Leo asubuhi imesikiliza kesi ya kiungo wa Simba Yusuph...
Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba.
Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya.
Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na...
Kwako kocha mkuu wa Simba, msauzi Fadlu David
Natamani Sana kuona kiungo Bora mzawa Yusuf kagoma anapata muda wa kucheza Simba, kutompa nafasi ya kutosha ni kumkosea mchezaji na kipaji chake.
Mzamiru wa Nini kila siku???, Yani una option ya kagoma na okejepha alafu una opt kuanza na mzamiru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.