yusuph

Yusuph Abdallah Nassir (born 25 April 1965) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Korogwe Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda: Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta Madeni ya Kodi

    Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya kodi, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda amesema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta...
  2. T

    Yusuph Kagoma kwenda Yanga

    Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake. Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio...
  3. Yusuph Kagoma kutimkia Azam

    Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake. Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
  4. Mwambieni Yusuph Dabo kama anataka kutoboa makundi CAFCL acheze kikanuni asicheze kimazoea

    Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni, Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni. Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko, Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani...
  5. Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

    Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
  6. D

    Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

    Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka 😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…