za kiume

  1. Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

    Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume. Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
  2. SoC03 Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini? Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
  3. "Si useme huna nguvu za kiume, huna lolote!" Sawa sina, kwani lazima kuwa nazo?

    Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane. Nikamwambia basi akachukue room nimfuate. Anang'aka kuwa "Nitaendaje mimi kuchukua room? Nenda kachukue uniite nije kukupa nyapu." Nikamwambia...
  4. Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

    Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
  5. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  6. SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  7. Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

    Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!! Muda mwingi niliutumia kujifunza...
  8. Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga. Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
  9. Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  10. Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  11. Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  12. SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  13. R

    Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
  14. INAUZWA Raba Original za Kiume

    Raba Original za Kiume zinauzwa. Fuatilia uzi huu mara kwa mara ili kuona bidhaa mpya. 80,000 Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  15. Sigara hupunguza nguvu za kiume

    SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ... Sources ...
  16. Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  17. Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  18. KWELI Nyama na supu ya Pweza inasaidia kuongeza nguvu za kiume

    Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi. Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
  19. P

    SI KWELI Tohara husababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara. Ukweli upoje?
  20. Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya: 1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…