Katika kuendelea kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kwa siku tatu za kufunga na kumuomba Mungu awaepushe dhidi ya janga la virusi hivyo vinavyoendelea kuisumbua dunia.
Katika taarifa ya serikali, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ametangaza...