Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma.
Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika mazao makuu ya kimkakati nchini ambayo ni pamba, kahawa, chai na...