Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 15.
Akiwa kijijini hapo Machi 07, 2025 Shigongo amewahimiza wakazi wa Kijiji...
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.
Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika...
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10.
Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo.
Wakizungumza kwa nyakati...
Tarehe 04 / 01 / 2025 nilienda Zahanati flani hapa mjini, ni ya Serikali baada ya kuwa sijiskii vizuri, nikapewa dawa kadhaa na panadol.
Leo jioni kichwa kikawa kinauma sana, nikasema nimeze Panadol ambazo nilibakiza nilizopewa Zahanati.
Binafsi siwezi kumeza Panadol Huwa nazitafuna tu, sasa...
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa.
Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
WANANCHI UYUI WATAKIWA KUITUMIA NA KUITUNZA ZAHANATI
Na WAF - Uyui, Tabora
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Uyui Mkoani Tabora kuitumia zahanati ya kijiji hicho kwa kwenda kliniki pindi wakina mama...
Habari wana JF.
Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora.
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati mpya katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora na maalum niizungumzie Halmashauri ya Nzega...
ZAHANATI MPYA KUFUNGULIWA LEO KIJIJINI NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA
Utoaji wa Huduma za Afya waendelea kuboreshwa ndani ya vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini.
Kata ya Musanja yenye vijiji vitatu (Mabuimerafuru, Musanja na Nyabaengere) haikuwa na zahanati hata moja - wanatembea umbali mrefu...
Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka.
Nilipofika hapo wameandika huduma zao zinatolewa kwa saa 24, nilimpeleka Mtoto wangu ambayo alikuwa anachemka sana, nikaamini...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania.
Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
Chama cha Mapinduzi kimejizatiti kwa kuongeza ufanisi ktk ngazi za chini kupitia program ya kugawa Pikipiki maarufu kwa Pikipiki za Samia Suluhu.
Hata hivyo baada ya kuzigawa kwa walengwa (Makatibu Kata, Makatibu wa Jumuiya Vijana, Wanawake, na Wazazi) nchi nzima kuna zilizobakizwa bila...
Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani.
Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule.
Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania - BAKWATA mkoa wa Simiyu.
Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri...
Habari Zenu wakuu.
Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan.
Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
Wahudumu wa zahanati ya Msoga hasa baadhi ya madaktari hawako serious na wagonjwa, Leo nimefika kutibiwa hospitalini hapo kilichotokea ni kwamba wagonjwa wote tulipoingia chumba cha Daktari tukaambiwa hatuwezi kuendelea na huduma yoyote bila kupima pressure na uzito.
Shida inakuja anayehusika...
Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa .
Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV
0756294771/0672701329
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AGAWA MASHUKA NA NETI ZAHANATI YA KATUNDA, WILAYA YA UYUI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Tarehe 09/07/2024 nimefanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Mabama Kijiji cha Katunda ndani ya Wilaya ya Uyui Jimbo la Uyui Kaskazini.
Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.