zahanati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kufahamu taratibu na sheria za kuanzisha zahanati

    Habari zenu wana Jamiiforus, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kujua taratibu za kuanzisha zahanati, kwa vipengele vifuatavyo:- (i) Ujenzi wa jengo-Ninamiliki kiwanja chenye vipimo vifuatavyo 30m x 24m. (ii)Gharama za Vifaa husika kwa ajili ya kuanza kazi. (iii)Gharama za usajili wa...
  2. Zahanati yahifadhi vitanda stoo, wajawazito wakijifungulia sakafuni

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Paul Chacha ameupa siku tatu uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kupitia idara ya afya kuhakikisha inafunga vitanda vya akinamama wajawazito kwenye Zahanati ya Kijiji cha Usangi ambayo wajawazito wamekuwa wakilazwa sakafuni kabla na baada ya kujifungua. Akiwa...
  3. I

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  4. Zahanati na Hospitali za Iringa vijijini zinanuka rushwa

    Tafadhali mkuu wa mkoa na wilaya ya Iringa, fanya uchunguzi kwenye zahanati za vijijini haswa Pawaga zinanuka rushwa! Baadhi ya wauguzi wamefikia hatua wanatoza wajawazito pesa kama hawana wanaandikia referral Iringa mjini wakafanyiwe operation kama kuwakomoa, watu wanalalamika hawana...
  5. Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  6. Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  7. E

    Ndugai yuko sahihi - hatutakiwi kukopa kujenga madarasa, vyoo, zahanati, madawati, hivi tufanye kwa tozo na kodi

    Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
  8. Tozo za simu badala ya kujenga madarasa na zahanati sasa zinanunua magari ya maafisa elimu

    Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni hakuna madarasa, hakuna maabara, hakuna nyumba za waalimu. hakuna mabweni na hata madawati bado ni...
  9. K

    Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
  10. J

    Nzega, Tabora: Bashe akabidhi zahanati, Gari ya wagonjwa na Pikipiki

    BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
  11. Upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali za Serikali, ukweli ni upi?

    Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali zilezile umepanda hadi 61% kutoka 21% ilivyokuwa awali . Anayeelewa hizi Takwimu...
  12. B

    Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

    Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
  13. J

    CCM kumbukeni Watanzania hata muwajengee madarasa na zahanati za dhahabu, kama hawana hela mifukoni ni kazi bure!

    Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini...
  14. Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
  15. Spika Ndugai 2025 sio mbali, ni kweli kuongeza tozo za miamala kutapeleka zahanati, maji, madawati, madarasa na barabara kila kijiji kabla ya 2025?

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji kabla ya 2025? Naungana na wewe 100% kuwa hakuna mfadhili atakuja kutujengea nchi yetu, hivyo ni...
  16. Tozo za miamala zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025. Uzalendo zaidi unahitajika

    Tozo za miamala ya simu zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; Zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025, Uzalendo zaidi unahitajika kwani vizuri vinamaumivu, Tupige moyo konde, nikweli pesa hakuna,nikweli mzunguko wa pesa si mzuri sana ila tuwaache wenye pesa walisaidie...
  17. TAMISEMI: Serikali kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati kila Kijiji na Kituo cha Afya kila Kata

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata. Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
  18. N

    Kigoma: Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi aliekuepo kupata ujauzito wananchi wahaha kupata huduma!

    Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
  19. Hatua za kufuata kufungua Zahanati

    Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.
  20. Kuna tofauti gani kati ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Rufaa?

    Waungwana hamjambo, Kuna maneno ya hizi taasisi huwa yananichanganya. Kuna tofauti gani kati ya zahanati, kituo cha afya, na hospitali ya rufaa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…