zahoro matelephone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Zahoro Matelephone ni nani mpaka RC Mwanza ameenda kuzindua kiduka chake cha simu?

    Wakuu, Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha amefanya uzinguzi huo. Huyu Zahoro ni nani? Ana nguvu sana huko SISIEMU? Au anawamwagia sana hela?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…