zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu ambazo hupelekea mtu kujihisi vizuri zaidi na mawazo na hisia zake mwenyewe na kupendelea shughuli za peke yake

    Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi: * Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi? * Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine? * Je, unaogopa kukataliwa? * Je, unajisikia peke yako au umetengwa? * Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajahudhuria msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake hajawahi kumtaja Soka?

    Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  6. JamiiForums Tanzania Maneno mapya ya msimu na maana zake

    Mchongo...... Koneksheni..... Kumsagia kunguni...... Upwiru... Mduwanzi...... Kudanga.... Msambwanda...... Kubeti...... Kwa Mpalange.... Papuchi....... Mshua..... Bi Mkubwa...... Mdingi.... Msh'hangazi... Kumwagilia moyo... Moja haikai.mbili haikai,,, Kupiga tagi... Kupiga selfiii..... ONGEZEA...
  7. JamiiForums Tanzania Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetokea kukuikubari hii impreza xv 2012. Nisaidieni tamu na chungu zake

    Karibuni wakuu
  10. JamiiForums Tanzania Marekani imesema haitarudishia Ukraine Silaha zake za Nuclear

    Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini maumbo na majina ya kijinsi yalikuwa hivi?

    Ndugu zangu, Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake? . Swali. 1: Ni kwanini basi jinsia ya kike ikaumbwa kwa umbo lile na imekuaje kuaje mpaka ikawa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  14. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  15. JamiiForums Tanzania Aua Rafiki zake 14 ili apate hela ya kubeti

    Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn (36) ya kuweka sumu kwenye chakula na kinywaji cha...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
  17. JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k, Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie. Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo nikitoa gharama...
  20. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Model za magari ya TOYOTA na maana zake.

    Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake. Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake. CAMRY - japanese for crown(taji) LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote RAV4 -Recreational active vehicle with 4WD gari ya burudani inayotumika yenye magurudumu manne yanayoendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…