Zakir Abdul Karim Naik (born 18 October 1965) is an Indian Islamic televangelist and public orator who focuses on comparative religion. He is the founder and president of the Islamic Research Foundation (IRF) and the Peace TV Network.In 2016, Indian authorities charged Naik for money laundering while abroad in Malaysia; Naik did not return to India and became a citizen of Malaysia. The National Investigation Agency unsuccessfully attempted to issue an Interpol red notice for his arrest, due to insufficient evidence. Peace TV is banned in India, Bangladesh, Canada, Sri Lanka, and the United Kingdom.
Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ... Anachosema ni kuwa ukisoma biblia hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu Kristu alisema yeye ni Mungu...
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu.
Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza nampongeza maashaallaah anajua kusoma quran, alianza kwa kuzisoma hizo aya na bahati mbaya akaishia aya...
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.
Source...
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2
Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.