In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine za kigeni zimekuwa zikitumika sana katika uchumi.
Juhudi walizofanya wakiamini wataweza...
Tofauti na zama hizi, zamani watoto na hata watu wazima walikuwa wanavaa hirizi waziwazi bila kificho.
Tulipokuwa tunacheza mpira shuleni/mtaani ilikuwa ni kawaida mtu kukuomba umshikie hirizi yake kama wewe hauchezi siku hiyo, au ilikuwa kawaida mwalimu kutangaza hirizi ya fulani imepotea...
Baada ya kumaliza kitabu cha Maisha ya Malcom X sasa na tusome kitabu kuhusu historia ya Tanganyika. Vitabu hivi na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti
UTANGULIZI
(Uliotangulia kitabu hiki kilipotolewa mara ya kwanza)
KWANZA inafaa wasomaji wote wafahamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.