zambia

Zambia (), officially the Republic of Zambia, is a landlocked country in Southern-Central Africa (although some sources consider it part of East Africa). Its neighbors are the Democratic Republic of the Congo to the north, Tanzania to the north-east, Malawi to the east, Mozambique to the southeast, Zimbabwe and Botswana to the south, Namibia to the southwest, and Angola to the west. The capital city is Lusaka, located in the south-central part of Zambia. The population is concentrated mainly around Lusaka in the south and the Copperbelt Province to the northwest, the core economic hubs of the country.
Originally inhabited by Khoisan peoples, the region was affected by the Bantu expansion of the thirteenth century. Following European explorers in the eighteenth century, the British colonised the region into the British protectorates of Barotziland-North-Western Rhodesia and North-Eastern Rhodesia towards the end of the nineteenth century. These were merged in 1911 to form Northern Rhodesia. For most of the colonial period, Zambia was governed by an administration appointed from London with the advice of the British South Africa Company.
On 24 October 1964, Zambia became independent of the United Kingdom and prime minister Kenneth Kaunda became the inaugural president. Kaunda's socialist United National Independence Party (UNIP) maintained power from 1964 until 1991. Kaunda played a key role in regional diplomacy, cooperating closely with the United States in search of solutions to conflicts in Rhodesia (Zimbabwe), Angola, and Namibia. From 1972 to 1991 Zambia was a one-party state with the UNIP as the sole legal political party under the motto "One Zambia, One Nation". Kaunda was succeeded by Frederick Chiluba of the social-democratic Movement for Multi-Party Democracy in 1991, beginning a period of social-economic growth and government decentralisation. Levy Mwanawasa, Chiluba's chosen successor, presided over Zambia from January 2002 until his death in August 2008, and is credited with campaigns to reduce corruption and increase the standard of living. After Mwanawasa's death, Rupiah Banda presided as Acting President before being elected President in 2008. Holding office for only three years, Banda stepped down after his defeat in the 2011 elections by Patriotic Front party leader Michael Sata. Sata died on 28 October 2014, making him the second Zambian president to die in office. Guy Scott served briefly as interim president until new elections were held on 20 January 2015, in which Edgar Lungu was elected as the sixth President.
In 2010, the World Bank named Zambia one of the world's fastest economically reformed countries. The Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is headquartered in Lusaka.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Maswali aliyoulizwa Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais wa Zambia Haichi Hichelema

    Popular musician Patience Namadingo invoked biblical scripture on Thursday, challenging President Lazarus Chakwera to "show and not explain" his accomplishments during a presidential youth dialogue at Sanjika Palace, writes Winston Mwale. "In the Bible, in the book of Luke chapter seven, verse...
  2. Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  3. F

    Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  4. Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

    Salaam wakuu, Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana. Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala. Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
  5. List of Betting Companies in Zambia

    The gambling industry is growing every day in Africa, with lottery games attracting more and more young people. In Africa, Zambia ranks seventh, behind South Africa, Nigeria, Kenya, Uganda, and Tanzania. Gambling is advised to be done in moderation, and here I have provided a list of the best...
  6. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  7. Zambia: Waganga wakamatwa kwa jaribio la kutaka kumroga Rais Hichilema

    Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
  8. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  9. B

    Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  10. Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu azuiliwa kugombea tena Urais uchaguzi wa mwaka 2026

    Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula miwili. Mahakama hiyo imeamua kuwa muda ambao Lungu alihudumu kama Rais wa taifa hilo kati ya 2015 hadi...
  11. B

    Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  12. Kwanini China nchi ya kidikteta ina maendeleo makubwa kuliko Kenya na Zambia?

    Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
  13. T

    Mkasa wakutisha katika Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa yatupasa kujifunza kwao kuepuka laana

    Leo nimependa kuwasimulia mkasa wakutisha ulio likumba Taifa la Zambia na kwanini kama Taifa na idara za usalama yatupasa kujifunza kwa Zambia nakuliepusha Taifa ktk mkwamo. Ktk Taifa la Zambia ambalo lilikuwa na urafiki na Tz palikuwa na Rais wao wa kwanza alie itwa Kenneth Kaunda. Kiongozi...
  14. Zambia iliwahi kupoteza Marais wao wawili waliokuwa madarakani ndani ya miaka 6

    Leo nimeona niwaletee kisa cha Zambia kupoteza marais wao wawili wakiwa madarakani ndani ya kipindi cha miaka 6. Levy Patrick Mwanawasa alikuwa Rais wa awamu ya tatu na Rais wa Kwanza kufia madarakani kutokana na stroke mnamo August 2008. Mwanawasa alifarikia Paris alipokuwa anapatiwa...
  15. G

    Nategemea kwenda Lusaka, Zambia mwezi wa 11 kwa wiki 2, wenyeji na mlioenda hivi karibuni nipeni mawili matatu nisiwe mgeni sana

    Mwezi wa 11 naenda Lusaka kwa likizo ya wiki 2, Nimealikwa kwenye shughuli za research, Ni nje ya kazi yangu rasmi, Likizo yangu ya mwezi ujao nimeona niitumie Lusaka. Mambo gani nizingatie nikiwa mgeni ? Kuna kero zipi kwa sasa ? Interests zangu ni kuangalia mpira nihudhurie mechi mbili...
  16. Zambia: Civil Aviation Authority Suspends all Kenya Airways flights into Lusaka

    The Zambia Civil Aviation Authority (CAA) has suspended all Kenya Airways flights into Lusaka as of early October 2024. The exact reasons for this decision have not yet been fully disclosed, but it follows similar regional tensions in aviation, such as disputes between Tanzania and Kenya over...
  17. Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Habari wakuu
  18. S

    Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

    Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
  19. F

    Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  20. Rais wa Zambia alitoa onyo kali Julai 6, 2024 kwa vikundi vinavyochochea mgawanyiko wa Kitaifa

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa. Bwana Hichilema ambae alitokea Upinzani amesema atawashighulikia wote wanaotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…