zamu

The Zamu Music Awards was an annual awards show in Flanders (Belgium), where the most outstanding Flemish and international musicians of the past year were honored.
The Zamu Awards were founded ZaMu (Zangers en Muzikanten; the Flemish association of singers and musicians). ZaMu was discontinued in 2006, but the organization of the Zamu Awards was taken over by Muziekcentrum Vlaanderen (Flanders Music Center), under the name Music Industry Awards (MIA's). [1]
For most award categories, a jury of music journalists selects four nominees. The winners are voted by members of the Flemish music industry, such as musicians, managers and record labels. Exceptions are the awards for best song and best music DVD, where the votes of the public select the winner.
A special award is the Lifetime Achievement Award, given each year to an artist to honor his or her complete creative career.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  2. Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
  3. Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

    Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump. https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
  4. Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  5. Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  6. Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

    Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe. Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia. Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa...
  7. G

    Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  8. Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upinzani watasema tutashitikiwa miga
  9. M

    Ni zamu ya Ulaya kutawaliwa: Ulaya Magharibi ni koloni mamboleo la Marekani

    Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani! Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
  10. Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  11. G

    Unapogundua unachapiwa kwa asie mke wako wala usimumize mchapaji, Mzigo ni mali yake na anaamua zamu hakuna anayemmiliki.

    Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
  12. Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  13. Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  14. Ukiwa una kitu unatoboa ni zamu ya king of squart.

    sema king of squart yaliyomo yamo.
  15. Ni zamu yako tunasemaje kwa kingereza" jifunze hapa

    Hili ni swali kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wa ukurasa wetu kutoka mkoani Mara. Ukitaka kusema ni zamu yako, huwa tunasema “It’s your turn…”. Kuna baadhi huwa wanasema “It’s your duty….”. Hii sio sahihi, kwa muktadha wa zamu. Wengi wanaosema “It’s your duty”, husema hivyo kwa kuwa shuleni...
  16. Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  17. M

    Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Habari wadau. Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia. Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission. Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
  18. Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

    Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili Niwaambie tu ukweli hapa baada ya...
  19. Baada kusumbuliwa na Hamas kwa miaka 1400, India yasema sasa ni zamu ya Israel

    What’s the latest hate weapon being used against Indian Muslims? Tokea Oktoba 7, Vyama vya Siasa nchini India vimeanza kutoa tahadhari dhidi ya Uislam, na kufanya ndio silaha yao kuu katika kampeni zao, haswa kutokana na vita inayoendelea kati ya Hamas na IDF, baada ya tukio la uvamizi na...
  20. Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine. Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo. Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…