Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake...