Kuna vijana wapo kwenye taasisi za kibiashara ambao kwa ujumla hawana exposure. Kuna mambo yanafanywa na taasisi za umma ambayo naamini siyo shirikishi.
Zanzibar Insurance wametoa tangazo kukataza wageni kuingia Zanzibar kuanzia Oktoba bila Insurance. Katika tangazo husika hakuna Sehemu...