zao la mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  2. Killing machine

    Kuna haja ya kubadili msimamo wa kauli ya serikali kuhusu bei ya mahindi

    Habari zenu wakuu, Kama mnavyo jua serikali yetu Haina misingi imara ya ajira kwa watu wake hivyo kutegemea sector binafsi kutatua angalau tatizo la ajira inchini Na tunapo zungumzia sector binafsi ni pamoja na viwanda vidogo vidogo vinavyo milikiwa na wakulima pamoja na wafanya biashara...
Back
Top Bottom