zao la mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakabilianaje na changamoto ya panya kwenye zao la mpunga

    Habari Bado napambana Na harakati za mpunga kwa sasa shamba langu La mpunga ushavuka Siku 50 ila nimechunguza ndani ya ndiwa zangu panya wameanza kukata ingawa maji yamejaa sasa wasije wakanipa hasara na ulipofikia nishapiga UREA, wazoefu waliokutana na changamoto Kama Hizo naomba tushare hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…