Wanajamvi
Kuna jambo lisilofaa kuhusu ruzuku ya mbolea za tumbaku kwa msimu ulioisha.
Serikali kupitia tangazo la TFRA la tarehe 29/12/2023 ilitoa mwongozo wa bei kwa mbolea za msimu huu kuwa ni chini ya 80,500 kwa mfuko.
Wakulima wa tumbaku hata hivyo wakakatwa dola 63 kwa mfuko bei...