Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda
Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe mpya
Kiukweli mi mmefurahi Sana maana dini inatuambia Ndoa ni nusu ya dini hvyo amekamilisha nusu ya...