Mojawapo ya raha ya mme/ mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia.
Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila mara.
Haina ladha ya kupendwa na kujaliwa.
Sasa kuna mwanamke (mana sina mke) ni kichocheo cha furaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.