zawadi ya birthday

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwasapile

    Ni sawa mwanaume kumpa mwanaume mwenzake zawadi ya Birthday?

    Nina rafiki yangu leo kafikisha umri wa miaka 31. Sasa amenicheki hapa kuwa nimtumie zawadi ya muamala kwajili ya birthday yake: je hili limekaaje wadau wa JF? Mtu wa aina hii kijana mwenye nguvu muajiriwa kwa mshahara mzuri anataka zawadi ya birthday? Kuna usalama kweli hapa?
Back
Top Bottom