Nina rafiki yangu leo kafikisha umri wa miaka 31.
Sasa amenicheki hapa kuwa nimtumie zawadi ya muamala kwajili ya birthday yake: je hili limekaaje wadau wa JF?
Mtu wa aina hii kijana mwenye nguvu muajiriwa kwa mshahara mzuri anataka zawadi ya birthday?
Kuna usalama kweli hapa?