Moja ya zawadi bora baba unayoweza kutoa kwa watoto au mtoto wako ni uwepo wako, ndio uwepo wako kwa hao watoto ni zawadi, utawapa kujiona kuwa unawathamini na kuwajali kwa kuwa karibu nao, kuzunguza nao, kucheza nao na kuwasikiliza wanasema ninj kwako kuhusu mahitaji yao, na maisha yao kwa...