zembwela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rozela

    Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  2. chiembe

    Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

    Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao? Hii tasnia haina seniority? Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia...
  3. A

    Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  4. Unavoidable Servant

    Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
  5. J

    Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

    Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa Naye Kitenge...
  6. Jidu La Mabambasi

    Zembwela ajutia kuingia sakata la DP World

    Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X): "Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia...
  7. D

    Mkiambiwa Kitenge, Zembwela na PJ ni wajinga msiwe wabishi

    Wajumbe, mara kadhaa mmekuwa mkiambiwa kuwa wachekeshaji wa redio ya Wasafi Maulid Kitenge, Zembwela na Paul James au PJ ni wajinga, wavivu wa kufikiri na pengine wanaoshambiliwa na ugonjwa mbaya wa ujinga msiwe mnabisha. Leo asubuhi wameendeleza komedi yao huko Morogoro wakiendelea na kile...
  8. mfianchi

    Nimeiona hii huko, akina kitenge, Zembwela na akili zenu za uchawa someni hapa.

    WASOMI WAKISHAANZA KUKOSOA UTAWALA NI HATARI KUBWA:- Na Thadei Ole Mushi Wasomi Nguli nchini wameendelea kuongea, wameendelea kukosoa Mkataba wa Bandari, Ukiona wasomi kaliba ya kina Shivji wameanza kutoka Vyumbani mwao na kuja kufanya Press fahamu kuwa wakati umefika wa aidha ukubali kubadilika...
  9. Idugunde

    Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  10. N

    Nani yupo Nyuma ya Wanahabari kwenye Sakata la Bandari? Au ni 'Uzalendo wao'?

    MAULIDI KITENGE NA WENZAKE WANAVYOWAPENDA WATANZANIA. Na Thadei Ole Mushi. Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela wakiwa nje ya Ofisi za makao makuu ya DP World kutuhabarisha manufaa ya DP World. Ni vijana wazalendo sana maana wametumia nauli zao, wamelipia hoteli kwa mishahara yao, na...
Back
Top Bottom