Wajumbe, mara kadhaa mmekuwa mkiambiwa kuwa wachekeshaji wa redio ya Wasafi Maulid Kitenge, Zembwela na Paul James au PJ ni wajinga, wavivu wa kufikiri na pengine wanaoshambiliwa na ugonjwa mbaya wa ujinga msiwe mnabisha.
Leo asubuhi wameendeleza komedi yao huko Morogoro wakiendelea na kile...