zengwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  2. Nifah

    Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...
  3. William Mshumbusi

    Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

    Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue. Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga...
  4. Mjukuu wa kigogo

    Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  5. R

    Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  6. mirindimo

    Star link yapigwa zengwe, makampuni ya simu hayaitaki

    Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali. Kama tumesahau niwakumbushe ni serikali ndio inamiliki mkongo wa Taifa kupitia TTCL ambayo haijawahi kuwa huduma nzuri ya mtandao kuzidi mitandao mingine japo wao ndio wanagawia...
  7. N

    USGN waishtaki Rs Berkane CAf kwa "zengwe" lao na mwamuzi Mwarabu mwenzao

    Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi zito kwa mama yake kwa kiarabu kumbe dogo anakijua akamla mtama wa nguvu.
  8. This is...

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  9. Idugunde

    Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

    #UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa. === HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  10. M

    Exclusive: Baada ya Injinia Hersi na GSM kuona Simba SC inaenda kuubeba tena Ubingwa wa VPL, wameandaa Zengwe kukwepa Lawama

    Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
Back
Top Bottom