WAZIRI WA ULINZI ZIARANI NCHINI ETHIOPIA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 04 Juni, 2024 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Mheshimiwa Injinia Ayisa Mohamed Mussa katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi nchini Ethiopia...