ziara marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

    Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  2. Analogia Malenga

    Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani

    Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome. ==== Pia soma: Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
  3. ChoiceVariable

    Wakenya: Ruto awe anaishi nje ya nchi kuliko kusafiri kila siku

    Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria. My Take Labda anawatafutia kazi ma Hustlers 😁😁 ===== Baada ya Rais Ruto kuwa na ziara nyingi sana nchi za nje, baadhi ya Wakenya warusha kejeli kwenye mitandao ya kijamii kwa kumuita majina mbalimbali kama vile...
Back
Top Bottom