Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini humo...
Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...
ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO:
▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero.
▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda cha Sukari Mtibwa.
▪️Kuzindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi-Mbigiri
▪️Kutembelea Kiwanda cha Mbegu...
Rais Samia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema ziara hiyo itaanza Agosti 2- 7 mwaka huu.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huyo...
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.