Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...