Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero...