Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona...
Akizungumza wakati akiendelea na ziara yake Mkoani Morogoro, Rais Samia amesema mbali na uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo, amefika pia kujionea hali ya Miundombinu ya Barabara iliyoharibiwa kutokana na Mvua za El Nino zilizonyesha kuanzia mwaka 2023.
Rais amesema...
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe Mnaelewa tunapowaambia ya kuwa Rais Samia anakubalika,kupendwa na kuungwa mkono ni haijapata Kutokea. Amekaa katika mioyo ya watu mpaka watu wanabubujikwa na machozi ya furaha wamuonapo. Watu wanakuwa na hamu na kiu kubwa sana ya kumsikiliza Mama ili wapate neno...
Rais Samia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema ziara hiyo itaanza Agosti 2- 7 mwaka huu.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.