Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!..
Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika kutembelea mkoa huu unaotoa jiji mojawapo kongwe zaidi Tanzania.. Dhumuni kuu likiwa kwenda kujionea mambo...