Kama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana.
Biashara ya chakura korea hipo tofauti na uwezi kuona biashara zina fanana yani huyu akipika wali wa chunvi mwengine anapika wali sukari...