ziara ya wassira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili Songwe kwa ajili ya ziara ya siku 3

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe. Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…