Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera...
Sidhani kama yuko mtu ndani ya CCM anaweza kujibu hoja za Lissu.
Sidhani kama CCM watavumilia Lissu atimize azma yake ya kufanya mikutano Singida, Dodoma, na Morogoro.
Msikilizeni hapa chini jinsi anavyoelewana na wananchi.
https://www.youtube.com/watch?v=ScnK4620Ib4
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze ni yeye peke yake ndio amewahi kuchaguliwa kama mbunge kutoka chama cha Upinzani, Dodoma ndio Kabisa wanachagua CCM kwa asilimia 100. Lissu anadai Singida na Dodoma ni Mikoa Maskini inayoongoza kwa kuichagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.